Video hii ni video inayo zungumzia maisha ambayo mungu anaweza kukuonesha maajabu yake katika maisha kila siku ambayo mwanadamu anaishi.Watoto hawa ni watoto wa kipekee amabao wamejitolea maisha yao kumtumikia mungu na ni watoto wenye vipaji vya kipekee ambavyo vimekuwa vikiwashangaza watu wengi sana.Pia watoto hawa ni watoto wa familia moja kutoka katika familia ya Mr.&Mrs AMOS SAMABAI,familia hiyo imekuwa ikijihusisha sana na katika huduma ya uimbaji wa nyimbo za injili.Pia tuliweza kufanya mahojioano na Baba wa watoto hao wa wili Keziah na Salome,bwana Amos Sambai ambaye alisema ``Nina furaha kubwa kwa wanangu kuwa watumishi wa bwana katika huduma ya nyimbo za injili kama nilivyo mimi na mke wangu Leah Amos ila kuna changamoto mbalimbali zinazo tokea katika kukamilisha ndoto za wanangu ambazo naimani wapenzi wa muziki wa injili naimani tukisaidiana katika changamoto hizi tutafika mbali,changamoto hizo ni vitendea kazi kwa ajili ya kufikisha ujumbe kwa umma.
TAZAMA VIDEO MPYA KUTOKA KWA WATOTO WANAOMTUMIKIA MUNGU "AMENITENDEA "

Post A Comment:
0 comments: