DEEY CLASSIC WA HIGHTABLE SOUND KUPEWA SALUTI NA PRODUCER HUYU WA KSS MEDIA

Share it:
Mtayarishaji (producer) wa muziki ambaye yuko chini ya KisibaShareSky company DOBEGUY TITUS akiwa katika interview ya kuitambulisha ngoma mpya ya MARIO BOBOH inayoitwa KESHO YANGU pale City fm 91.7 Dar es Salaam. Asema kuwa utayarishaji bora si kufanya kazi nyingi zaidi, bali ni kufanya kazi ambayo itashika mashabiki na wasio mashabiki wa muziki kwa kiwango kikubwa (yaani hit song), Huku akiongeza kumkubali sana Producer toka High table Sound DEEY CLASSIC na kusema kuwa producer huyo hufanya kazi zake chache lakini hufanya vizuri kwa muda mrefu.
Tazama interview hiyo



Share it:

Unknown

No Related Post Found

Post A Comment:

0 comments:

Also Read

Heath Slater Deserves A Shot At John Cena's US Title Right Now

Poor Heath Slater. Everybody's favourite ginger wrestler (yes, probably more than 'Taker and Sheamus) missed out on an o

Unknown