..
Re: Baadhi ya wadada hamjitambui kwa hili dogo tuWasichana hakuna asiya vaa Nguo za ndani, Baadhi wakivaa zisizo wabana na asilimia kubwa wakivaa zinazo wabana ili kuonekana wana mvuto mzuri (Sex appeal). Lakini laiti wangejuwa kuwa nguo zinazo wabana husababisha madhara makubwa ya kiafya kama ilivyochunguzwa na baadhi ya watafiti wa kiafya kwakuleta madhara makubwa.
Hizi ndizo sababu za kwanini hutakiwi kuvaa nguo za kubana. Kwanza nguo za kubana husababisha usumbufu kwenye lymphatic system, Ambapo hujihusisha suala la kutoa takamwili. Hili husababisha taka na sumu kushindwa kutoka mwilini.
Kwa wasichana wanao vaa nguo zinazo wabana hasa kwa nguo za ndani, hili hupelekea maambukizi ya magojwa kama yeast infection au (Magonjwa ya kibofu cha mkojo) urinary tract infection. Kwa kuvaa nguo za ndani za kubana hii hupelekea uke "Kuma" kuto pumuwa vizuri nanibora kuchaguwa nguo ya ndani ambayo haita kubana.
Ili kusaidia afya ya sehemu za siri, Madaktari huwa wanapendekeza kuvaa nguo za ndani ambazo zitaruhusu kwa mwanamke hewa iingie na sio itakayokuwa inabana. Pia nguo za ndani za kubana haziruhusu kukauka vizuri kwa jasho hasa pale unapokuwa unatembea, unafanya kazi au upo sehemu ya joto, Na hili linaweza kukupelekea kupata magojwa ya ngozi kwenye sehemu za kuzunguka uke, na pia backteria na blistering karibu na pant seams.
Hataivyo pale unapokuwa umevaa nguo za ndani za kubana, Na ukiwa unafanya shughuli kama kuendesha baskeli nk, Inaweza kukusababishia michubuko kwenye mapaja na wakati mwingine maeneo jirani na uke. Lakini pia, Madhara mengine yanayoletwa na nguo za ndani za kubana ni magonjwa yanayoletwa na material inayotumika akutengenezea nguo hizo kwenye ngozi. Wakati mwingine hupelekea maeneo ya nje ya uke kuwasha na kupelekea michubuko na vipele.
Maeneo haya ya irritated yanawea kudhuriwa na magojwa na hasa kupelekea magonjwa ya sehemu za uke na njia ya mkojo. Kwamujibu wa health.com, Inasemekana sio tu kuvaa nguo za ndani zinazobana inaweza kukupelekea kupata magojwa ya uke na njia ya mkojo, Bali hata kuvaa hizo nguo za ndani zinazobana inaweza kukuletea magojwa kama hemorrhoids napia inaweza leta lacerations anal.
Nahili ni hasa ukiwa kwenye hali ya hewa ya joto. Jasho lina mahusiano mazuti sana na ngozi lakini ukiliruhusu likae kwenye ngozi pasipo kutoka hasa kwa k ulibana basi lina athiri ngozi yako. Je umevua nguo yako ya ndani na kukuta imeach alama? Kam andivyo basi gunduwa kuwa nguo hiyo si saizi yako hatakam amwaka jana lilikuwa inakutosha au mwezi ulio pita, Ni vyema kutafuta ambayo ipo saizi yako
Post A Comment:
0 comments: