RAMA DEE AJIANDAA KUTOA NYIMBO MPYA NA VIDEO PINDI ATAKAPO TOKA AUSTALIA HIVI KARIBUNI

Share it:
Msanii wa Maarufu wa nyimbo miondoko ya RnB Ajiandaa kutoa 
nyimbo mpya na Video mpya hivi karibuni  Baada ya kutoka Austalia 
ambako alikwenda kwa muda.Pia awaomba mashabiki wake mkae tayari
kuipokea na kuisikiliza track mpya ambayo Niburudani tosha ikiambatana  
na Ujumbe Mzito kwa jamii.http://kisibashareky.blogspot.com/
Share it:

Post A Comment:

0 comments: