BADO miezi michache (takribani minne) ili Rais John Magufuli akamilishe mwaka mmoja tangu alipokabidhiwa uongozi wa nchi. Yapo mengi aliyokwisha kuyasema na kuyatenda katika kipindi chake hiki kifupi, na katika haya yapo mengi mema na yapo pia mengi ya kurekebisha. Jambo moja dhahiri ni kwamba Rais Magufuli amefanikiwa kujitanabaisha miongoni mwa wananchi walio wengi kwamba ana nia njema ya kulitumikia taifa na kupambana na matatizo yanayowakabili wananchi maskini, ambao ndio wengi. Changamoto moja inayojitokeza katika utawala wake ni mwelekeo wa Magufuli wa kutaka kuamini kwamba ni yeye tu anayepaswa...
Navigation
Post A Comment:
0 comments: